资讯

Cole Palmer amekuwa shujaa wa Chelsea baada ya kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya PSG katika mchezo ...
UONGOZI wa klabu ya Simba umeteua majina matano yatakayounda kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ambayo ipo sokoni kusajili ...
SIKU chache tangu amalizane na Simba, kipa Ayoub Lakred aliyetua FUS Rabat ya Morocco, amevunja ukimya kwa kufichua kuwa, ...
ALISIKIKA beki wa Lazio wa wakati huo, Alessandro Nesta. “Nimerudia tena kutazama tena na tena nilikuwa nafanya wapi makosa ...
KADRI sakata la Uchaguzi Mkuu wa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linavyoendelea, ndivyo Shirikisho la Kimataifa ...
JUVENTUS imewasilisha ofa ya pauni 8.65 milioni pamoja na nyongeza kwenda Manchester United ili kumsajili winga wa klabu hiyo ...
MSHAMBULIAJI wa Azam FC raia wa Senegal, Alassane Diao amethibitisha hatokuwa sehemu ya kikosi hicho msimu ujao, huku taarifa ...
MABOSI wa JKT Tanzania wako kwenye hatua za mwisho kumalizana na beki wa mkongwe wa KMC, Fred Tangalo ambaye alimaliza ...
KATIKA hatua ya kuibua na kukuza vipaji vya vijana wa Kitanzania, taasisi ya African Youth Empowerment (AYE) imetangaza ...
KIUNGO Mtanzania Suzana Adam, ambaye alikuwa anakipiga FC Masar ya Misri, anawindwa na timu za Ligi Kuu nchini humo na ...
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Linex Mjeda ameamua kufunguka juu ya mabadiliko ya mwili wake, akikanusha kupunguzwa ...