资讯
Arusha. Ubalozi wa Marekani nchini umethibitisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) itarejeshwa, licha ya shirika hilo ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk Peter Kisenge wakishikana mkono na Mratibu wa Taasisi ya BAPS Charities Kapil Dave baada ya kupokea msaada wa Sh250 kwa ajili ya JKCI na ...
Dar es Salaam. Ikiwa kesho, Septemba 15, dunia itaadhimisha Siku ya Demokrasia, wadau wa siasa nchini wameibuka na mitazamo tofauti juu ya hali ya demokrasia Tanzania, baadhi wakisema imeimarika na ...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele akimkabidhi nakala ya fomu za uteuzi Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ...
Tirana. Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa ...
Moja ya mabasi ya kusafirisha abiria wa SGR katika vituo vya Morogoro na Dodoma yaliyotangazwa leo Jumamosi Septemba 13, 2025. Dar es Salaam. Kampuni ya mabasi ya Faima imetambulishwa rasmi na Shirika ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Dar es Salaam. Kampeni ya nishati safi ya kupikia katika muktadha wa Dira ya Taifa 2025 inalenga kuokoa maisha, kuboresha afya za wanawake na watoto pamoja na kulinda mazingira. Kutokana na mikakati ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果