资讯

HOMA ya uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) imezidi kupanda, huku zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufungwa kwa zoezi la uchukuaji na urudishwaji wa fomu za kuwania ...
STRAIKA wa Mashujaa, Chrispin Ngushi amesema anajivunia kuendelea kuaminiwa na makocha katika timu alizopita kwa kumpa nafasi kuonyesha uwezo wake, huku akiitaja mechi dhidi ya Simba kumpa ugumu.
KLABU ya Mount Uluguru ya Morogero imefungua rasmi daftari la usajli kwa washiriki wa raundi ya tatu ya mbio za magari ...
NAHODHA wa timu ya Taifa chini ya miaka 20, Lameck Lawi amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC akitokea Coastal ...
KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique ameelezea kwa nini amemchapa kibao Joao Pedro kwenye vurugu zilizotokea baada ya Chelsea kushinda taji la Klabu Bingwa Dunia kwa kuifunga miamba hiyo ...
SHUJAA wa Chelsea, Cole Palmer, amefunguka kuhusu kitendo kilichowashangaza wengi kutokana na uwepo wa Rais wa Marekani, ...
KUTOKANA na kiwango kibovu alichoonyesha kipa wao Roberto Sanchez, kocha wa Chelsea amewasilisha jina la kipa wa Paris ...
KOCHA Enzo Maresca na vijana wake wa Chelsea wameandika historia mpya baada ya kuibuka mabingwa wa kwanza wa mfumo mpya mashindano ya fainali za Kombe la Dunia la Klabu kwa kuichapa Paris ...
KOCHA Enzo Maresca na vijana wake wa Chelsea wameandika historia mpya baada ya kuibuka mabingwa wa kwanza wa mfumo mpya ...
Cole Palmer amekuwa shujaa wa Chelsea baada ya kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya PSG katika mchezo ...
UONGOZI wa klabu ya Simba umeteua majina matano yatakayounda kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ambayo ipo sokoni kusajili ...
YANGA imendelea na hesabu zake za kimafia kusuka kikosi chake na lile dili la kiungo wa shoka Moussa Bala Conte likitiki tu ...