资讯

Stori Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa adhabu ya kupunguzwa kwa idadi ya mashabiki katika Uwanja wa Moi ...
Kufuatia kifo cha aliyeongoza kura za maoni Jimbo la Kongwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, kura hizo sasa ...
Mchakato wa kupatikana wagombea wa udiwani, ubunge na uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umefikia dakika za lala salama, baada ya vikao vya mwisho vya uteuzi kuanza leo. Fedha hizo ni ...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wanaamini katika kumuenzi Ndugai na watamkumbuka kwa kuendeleza mema yote aliyoyatenda. Mchakato wa kupatikana wagombea wa udiwani, ubunge na uwakilishi kupitia ...
Kwa mujibu wa mtalaa ulioandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) mahiri hizi ni kama vile fikra tunduizi na udadisi; kujitambua, ushirikeli na ushirikiano; ubunifu, utatuzi wa matatizo ...
Elimu hii inawapa wanafunzi stadi zinazowezesha kutumia mikono yao, akili zao kwa vitendo, na ubunifu wao kutatua matatizo ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeongeza muda kujisajili kulipa kodi kwa watu binafsi na taasisi zote zinazojihusisha na ...
Muuguzi huyo anadaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha Julai 2, mwaka 2024, mtaa wa Rau Pangaleni, Wilaya ya Moshi, ...
Serikali imeombwa kutoa elimu zaidi ya usimamizi wa miradi ya mazingira ili kusaidia Taifa kuondokana na jangwa, ukame.
Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japani (JICA) linatambua ari ya wakulima na jukumu muhimu wanalotekeleza katika ...
Taarifa za kifo cha Uribe zimetolewa na mke wake, Maria Claudia, Jumatatu, 11 Agosti 2025, ambaye amesema kifo hicho ...
Amesisitiza kuwa matumizi ya nishati safi kama gesi si tu yanaboresha maisha ya familia bali pia ni suluhisho kwa changamoto ...