资讯
Ndani ya saa 24, Chama cha Mapinduzi (CCM), kimekusanya zaidi ya Sh86 bilioni katika harambee iliyoanzishwa ya kuchangia ...
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema mbali na fedha za kampeni za uchaguzi mkuu 2025, harambee kiliyoianzisha ...
Mamia ya makada, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza katika ukumbi wa Mlimani City, inakofanyika ...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetaja mikoa sita itakayoshuhudia vipindi vya mvua na ngurumo za radi kwa siku 10.
Washtakiwa saba wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 20 yakiwemo ya kuongoza genge ...
Watoto 50 walionusurika katika ajali ya moto uliozuka katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo kilichopo katika ...
Zaidi ya wananchi 10,000 wa kata za Malambo, Nyangokolwa, Somanda na vijiji vya jirani katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ...
Askari Polisi mwenye namba WP 10050, Julieth Moshi (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka ...
Serikali Mkoa wa Mbeya imewaonya na kuwanyooshea kidole baadhi maofisa usafirishaji (bodaboda), kutajwa kuhusika na matukio ...
Winga wa Manchester City, Jack Grealish, yuko hatua moja tu kumaliza dili ambalo halingeaminika mwaka mmoja uliopita kujiunga ...
Maandalizi ya kuanza kwa usafiri wa mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya pili, katika barabara ya Mbagala (Kilwa), sasa ...
Mabingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool, wameanza mawasiliano ya moja kwa moja na Crystal Palace kwa nia ya kumsajili nahodha ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果